Wizara ya elimu yatoa masharti kadhaa ya kutimizwa kabla ya ufunguzi wa shule ya Endarasha Academy

  • | Citizen TV
    339 views

    Wizara ya elimu imetoa masharti kadhaa ya kutimizwa kabla ya shule ya msingi ya Hillside Endarasha kufunguliwa. Kati ya mashrti hayo,wasimamizi wameagizwa kuondoa kabisa mabweni yaliyojengwa na kupunguza idadi ya wanafunzi kwenye mabweni