Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya Kilimo Paul Kipronoh asema watashirikiana na mashirika ya kibinafsi kuzalisha chakula

  • | Citizen TV
    48 views
    Huku maeneo mengi ya nchi yakiendelea kukumbwa na ukame, serikali imesema kuna mipango inawekwa ya kushirikiana na mashirika ya kibinafsi katika juhudi za kuimarisha utoshelevu wa chakula.