Wizara ya leba inawataka Wakenya kuchukua nafasi nyingi za kazi zinazopatikana ughaibuni

  • | Citizen TV
    176 views

    Serikali ya Kitaifa kupitia wizara ya Leba imehimiza vijana humu nchini kuchukua nafasi nyingi za kazi zinazopatikana ughaibuni kama njia ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.