Wizara ya usalama imeanzisha mikakati kuwasaidia wanaotishwa mitandaoni

  • | Citizen TV
    186 views

    Wizara ya usalama nchini imeanzisha mpango wa kuhudumia wananchi wanaojipata katika visa vya uhalifu wa mtandao (cybercrime) katika vituo vya polisi.