30 Oct 2025 1:34 pm | Citizen TV 262 views Duration: 1:48 Serikali inasema imeweka mikakati kabambe ya kupambana na ulanguzi wa mihadarati nchini kwa kuimarisha usalama mipakani. Katibu wa usalama Dkt Raymond Omollo anazungumza sasa baada ya mkutano na wakuu wa usalama mombasa.