Wizara ya utalii Bungoma washirikiana na wawekezaji ili kukuza juhudi za kuweka vivutio vya utalii

  • | NTV Video
    56 views

    Wizara ya utalii katika kaunti ya Bungoma imeshirikiana na wawekezaji wa mikahawa ili kuanzisha juhudi za kuweka vivutio vya utalii katika kaunti hiyo kama njia moja ya kuwavutia watalii, ili kuimarisha uchumi wa kaunti hii pamoja na kutoa nafasi za ajira.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya