- 203 viewsDuration: 2:43Wizara ya Utalii imehimizwa kuendelea kuunga mkono na kupanua mipango ya kutoa vyeti kwa wahudumu wenye uzoefu katika sekta ya utalii na ukarimu, ili kutambua ujuzi walioupata kupitia kazi na uzoefu wa muda mrefu.Wito huo unatolewa huku zaidi ya wahudumu mia mbili katika sekta ya utalii na ukarimu katika Kaunti ya Nandi wakipokea vyeti baada ya kukamilisha mafunzo na tathmini ya ujuzi katika Chuo cha Kitaifa cha Kaib