Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya utalii yapongeza mchango wa sekta ya kibinafsi katika ukuaji wa utalii nchini

  • | KBC Video
    77 views
    Duration: 1:44
    Wizara ya utalii na wanyama pori imepongeza mchango wa sekta ya kibinafsi katika kuleta ukuaji kwenye sekta ya utalii humu nchini. Waziri wa utalii na wanyama pori Rebecca Miano alisema kuwa wageni milioni- 5.1 walionakiliwa kwenye hoteli mwaka uliopita hawakujumuisha wale waliokaa kwenye makao ya watu binafsi na vituo vya Airbnb kuashiria kwamba kitengo cha watalii wa humu nchini ni nguzo muhimu katika sekta hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive