Skip to main content
Skip to main content

Wizi wa kutumia pikipiki na bunduki waongezeka Nairobi

  • | Citizen TV
    16,260 views
    Duration: 2:39
    Visa vya wizi wa kimabavu vimeendelea kuripotiwa katika maeneo kadhaa hapa jijini Nairobi, huku matumizi ya pikipiki na bunduki yakiendelea kuhatarisha maisha ya wananchi. Kisa cha hivi punde kiliripotiwa eneo la Parklands, Nairobi, baada ya majambazi waliojihami kuwaibia wananchi peupe. Tukio hilo linadaiwa kunaswa kwenye kamera za CCTV. Ode Francis ana mengi zaidi.