Yameandaliwa katika eneo la Makongeni eneo la Nambale

  • | Citizen TV
    103 views

    Mashindano ya baiskeli kwa wanafunzi wa shule za upili kaunti ya Busia yameandaliwa huku wakenya wakitakiwa kuzingatia utumizi wa baiskeli kuzuia uchafuzi wa mazingira.