Skip to main content
Skip to main content

Yvonne Atieno ajitwika jukumu la kutetea wajane Homabay

  • | Citizen TV
    112 views
    Tatizo la urithi haswa wa mashamba limekuwa donda sugu kwa wajane katika maeneo mengi, Kaunti ya Homabay ikiwa mojawapo. Hata hivyo Yvonne Atieno mwakilishi mteule kwa maswala ya vijana katika kaunti ya hiyo amejitwika jukumu la kuwatetea na kuwapa mwelekeo kina mama hao ambao wameondokewa na waume zao. Mbali na kuwawakilisha mahakamani na baadhi yao kupata haki zao, pia ameendeleza miradi ya kuwapa makao wajane wanaoishi katika mazingira duni. Hebu tulisikilize simulizi yakwa kwa kina katika makala yetu ya mwanamke Bomba yanayofuata sasa.