Zaidi ya familia 100 zinazodaiwa zafurushwa mtaani Ngara

  • | Citizen TV
    2,979 views

    Wale wote walio na madeni ya kaunti ya Nairobi ni sharti walipe kabla ya kupata huduma. Hii ni kufuatia operesheni ya kuwafurusha waliokosa kulipa kodi ya nyumba katika mtaa wa Ngara ambapo zaidi ya familia 100 ziliathirika. Maafisa wa kaunti pia walifunga hekalu la dhehebu la free mason wakisema kuna deni la zaidi ya shilingi milioni 19.