Zaidi ya familia 40 kutoka Nyatike waathirika pakubwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa inayoendelea

  • | Citizen TV
    310 views

    Zaidi ya familia 40 kutoka maeneo ya Modi, nyora na kabuto katika eneo bunge la nyatike kaunti ya Migori wameathirika pakubwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo ya nyanda za juu katika kaunti ya Migori.