Zaidi ya familia 50 kutoka Kaptembwa zahamia kanisani baada ya nyumba wanakoishi kupata nyufaa

  • | Citizen TV
    5,808 views

    Huku taifa likizidi kushuhudia Mafuriko ambayo yameathiri shughuli za kawaida ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 257, katika kaunti ya Nakuru eneo la Kaptembwa familia zaidi ya hamsini zililazimika kulala kanisani baada ya nyumba wanakoishi kupata nyufaa na shule kadha kujaa maji. Evans Asiba Yuko katika kanisa moja eneo la kaptebwa ambako wathiriwa wanasitiriwa na anaungana nazi mubashara kwa taarifa zaidi.