Zaidi ya familia 50 Narok South zimefidiwa na serikali

  • | Citizen TV
    249 views

    Zaidi ya familia 50 kutoka Narok South wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kutoa shilingi milioni 69 kama awamu ya pili kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia uvamizi wa wanyama pori