Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya familia 500 Lamu zimepokea chakula cha msaada kutoka kwa serikali

  • | KBC Video
    50 views
    Duration: 1:37
    Zaidi ya familia 500 kutoka vijiji vya Barigoi na Mswakini kwenye msitu wa Boni kaunti ya Lamu zimepokea chakula cha msaada kutoka kwa serikali kufuatia kipindi kikubwa cha ukame kilichoziacha familia nyingi bila chakula cha kutosha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News