Zaidi ya familia 600 zitanufaika na mradi wa umeme Busia, utapiga jeki hatua za maendeleo kitaifa

  • | TV 47
    15 views

    Zaidi ya familia mia sita katika Kaunti ya Busia zinatarajiwa kunufaika na mradi wa usambazaji umeme.

    Mradi huu ambao ni wa ushirikiano kati ya serikali ya Kaunti ya Busia na Shirika la Kusambaza Umeme Mashinani (REREC) utagharimu shilini milioni sabini na tano huku Kaunti ya Busia ikitarajiwa kuchangia zaidi ya shilingi milioni arobaini.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __