Zaidi ya hekari 80 za misitu na nyasi zateketezwa na moto Makueni

  • | Citizen TV
    376 views

    Zaidi ya hekari themanini za misitu na nyasi zimeteketezwa na moto unaoendelea katika misitu mbalimbali ukiwemo msitu wa Chai,Makuli na Chyulu kaunti ya Makueni.