Zaidi ya maeneo 1,000 kaunti ya Mombasa ya kuuza vileo hayana leseni

  • | Citizen TV
    578 views

    Zaidi ya maeneo ya kuuza vileo 1000 kutoka kaunti ya Mombasa yanadaiwa kuendesha biashara hiyo bila leseni zinazohitajika.