Zaidi ya miche 3000 ya miti ya kiasili yapandwa katika msitu wa Kinale

  • | KBC Video
    19 views

    Maafisa wa shirika la huduma za misitu humu nchini pamoja na wale wa taasisi ya kitaifa ya mafunzo anuwai ya Kiambu na taasisi ya mafunzo ya matibabu ya Gatundu wamepanda zaidi ya miche elfu-3 ya miti ya kiasili katika msitu wa Kinale.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News