Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya shule elfu-tatu zimepokea ufadhili kutoka kwa serikali

  • | KBC Video
    1,100 views
    Duration: 3:47
    Takriban shule zote za msingi na sekondari za umma zimezingatia agizo la serikali la kuwasilisha upya maelezo ya usajili wa wanafunzi,kama sharti la kupokea ufadhili wa masomo.Katibu wa elimu ya msingi Julius Bitok, hata hivyo amesema ni shule elfu-tatu pekee kati ya shule elfu-32 ,ambazo data yao wanafunzi imewasilisha katika makao makuu ya wizara hiyo zimepokea mgao wa ufadhili wa mhula wa tatu baada ya maelezo yaliowasilishwa kuthibitishwa kwa ya kweli. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive