Zaidi ya vituo 700 vyafungwa katika kaunti 5 nchini

  • | Citizen TV
    231 views

    Zaidi ya vituo 700 vya afya vimefungwa katika kaunti tano kwa kukosa kufikisha viwango vya msingi vya kutoa huduma. Vituo vingine 300 vimeshushwa daraja kufuatia ukaguzi wa kitaifa uliofanywa na baraza la wataalamu wa afya kutoka KMPDC. Baadhi ya vituo hivo havijasajiliwa au kukosa leseni.