#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
Zaidi ya wakazi 15,000 kutoka maeneo ya Tana Delta, kaunti ya Tana River, wanakabiliwa na athari za mabadiliko ya tabianchi baada ya maji ya Mto Tana kubadilika kuwa chumvi kutokana na kuongezeka kwa mawimbi ya Bahari Hindi.
Wakazi hao, ambao wengi ni wakulima, wavuvi na wafugaji, wanasema viwango vya chumvi kwenye maji vimeongezeka, na kuathiri vyanzo vya maji safi.
Tatizo hilo lililoanza zaidi ya miaka 20 iliyopita limewalazimu wakazi kusafiri zaidi ya kilomita 20 kutafuta maji safi, huku wakiomba serikali kuchukua hatua za dharura ili kuzuia maafa makubwa zaidi.
Maeneo yaliyoathirika ni Chara, Kone Masa, Ozi, Kilelengwani na Dide Waride.
Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews