Zaidi ya wakazi 200 walalamikia ardhi Utange, Mombasa

  • | Citizen TV
    1,376 views

    Utata umeibuka kati ya wakazi zaidi ya 200 na mwanasiasa mmoja kuhusu umuliki wa kipande cha ardhi cha ekari tatu eneo la utange kaunti ya mombasa. Wakaazi hawa wakimlaumu aliyekuwa spika wa kaunti ya lamu mohammed fumo kwa kutwaa shamba wanalodai ni lao.