13 Jul 2026 10:43 am | Citizen TV 258 views Duration: 1:44 wakazi zaidi ya 2,000 wa eneo bunge la Belgut kaunti ya kericho wamenufaika kwa matibabu ya bure yaliyotolewa na Wizara ya Afya kwa ushirikiano na kampuni ya Browns Plantation kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii.