Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wakazi 3,000 wanufaika na kambi ya matibabu ya bure Bomet

  • | Citizen TV
    291 views
    Duration: 1:59
    Na katika kaunti ya Bomet, wakazi zaidi ya 3,000 wa Kapkesosio eneobunge la Chepalungu nao pia walinufaika kwa matibabu ya bure kwenye kambi iliyoandaliwa na serikali ya kaunti hiyo ikishirikiana na wakfu wa Mpesa .