Zaidi ya wakimbizi 1000 kutoka taifa la Congo wapiga kambi katika uwanja wa Kitale

  • | Citizen TV
    1,143 views

    Zaidi ya wakimbizi elfu moja kutoka taifa la Congo wanapiga kambi katika uwanja wa maonyesho ya kilimo ya Kitale baada ya kutoroka vita nchini mwao. Hata hivyo, wengi wao wanakabiliwa na uhaba wa chakula na hata mahali pa kujisitiri wanaposubiri kusafirishwa hadi kambi ya wakimbizi ya Kakuma.