Zaidi ya wanachama 2000 wa shamba la malisho washiriki uchaguzi wa kundi hilo

  • | Citizen TV
    491 views

    Zaidi ya wanachama 2000 wa shamba la malisho ya imbirikani huko Kajiado kusini wanafanya uchaguzi wa viongozi wa kundi hilo. Shughuli hiyo inalenga kuhakikisha kuwa wale ambao wanachaguliwa wanaongoza jamii katika masuala ya ugavi wa rasilimali na mapato yanayotokana na shuguli za uhifadhi wa wanyamapori.