Zaidi ya wanafunzi 100 wanufaika na mpango wa ufadhili wa masomo wa Wings to Fly

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya wanafunzi 100 wamenufaika na mpango wa ufadhili wa masomo wa Wings to Fly. Mpango huo hufadhili masomo ya wanafunzi wasiojiweza waliofuzu kwenye mitihani yao ya kitaifa. Wakati wa uzinduzi wa mpango huo wa mwaka huu, watakaonufaika walihizwa kutumia fursa hiyo kikamilifu kuboresha maisha yao. Afisa mkuu mtendaji wa Equity Group James Mwangi aliwahimiza wanafunzi walionufaika kusahau changamoto zilizowakumba awali,na kulenga fursa za siku za usoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive