Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wanafunzi 30 wa gredi ya 10 wajumuika Mukuru wakishindwa kuripoti shule za sekondari

  • | Citizen TV
    163 views
    Duration: 3:34
    Zaidi ya wanafunzi 30 katika mtaa wa Mukuru hapa Nairobi wameshindwa kuripoti katika shule za sekondari ya juu, takriban mwezi mmoja baada ya wenzao kuanza masomo. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi hawa wa gredi ya 10 wakidai kurudishwa nyumbani licha ya Rais William Ruto kutoa amri kwa wasimamizi wa shule kutowafungia nje wanafunzi ambao hawana karo wala SarÄ™. Serfine Achieng Ouma alitembelea baadhi yao katika mtaa wa Mukuru kwa Njenga hapa Nairobi ambapo zaidi ya wanafunzi 30 bado hawajaripoti shuleni na kutuandalia taarifa ifuatayo.