Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wanajeshi 50,000 wa KDF kunufaika na mpango wa nyumba za bei nafuu

  • | Citizen TV
    2,930 views
    Duration: 2:02
    Wanajeshi zaidi elfu Hamsini wa KDF sasa watanufaika na mpango wa serikali wa kumiliki nyumba za bei nafuu kupitia mkopo wa nyumba, unaotoza riba ya asilimia nne.