Zaidi ya watu 400 wakamatwa kwa ghasia za maandamano Kenya, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    13,784 views
    Boniface Kariuki, mchuuzi aliyekuwa akiuza barakoa mjini Nairobi na akapigwa risasi kichwani na polisi siku ya maandamano amefariki. Wakati uo huo, idara ya upelelezi wa uhalifu wa jinai nchini Kenya (DCI) imeripoti kuwa watu 485 waliohusika katika ghasia na uporaji wa mali za umma na taasisi za serikali wakati wa maandamano hayo wamekamatwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw