Ziara ya Rais Ruto Korea Kusini | Rais Ruto ashauriana na mwenzake Yoon Suk-Yeol

  • | KBC Video
    167 views

    Mashirika ya biashara ya Kenya na Korea Kusini yametia saini mikataba ya ushirikiano katika biashara na uwekezaji.Akiongea katika siku ya pili ya ziara yake nchini Korea Kusini,rais William Ruto alipongeza hatua hiyo akisema serikali ya Kenya imeweka mazingira yanayofaa kwa uwekezaji.Rais Ruto aliialika jamii ya wafanyabiashara kutoka Korea Kusini kuwekeza hapa nchini katika sekta za uchukuzi,muundo msingi,kilimo,afya na teknolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #williamruto #News