Ziara ya Rais wa Finland Alexander Stubb na mke wake , Suzanne Innes-Stubb katika ikulu ya Nairobi.

  • | Citizen TV
    595 views

    Rais William Ruto ni mwenyeji wa rais wa Finland Alexander Stubb na mke wake , Suzanne Innes-Stubb katika ikulu ya Nairobi. Rais Stubb yuko nchini kwa ziara ya siku tatu. Marais hao wawili wanatarajiwa kutia saini mikataba mbalimbali ya maelewano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.