Ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Russia barani Africa kulikoni?

  • | VOA Swahili
    3,846 views
    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Mkuu Sergei Lavrov yuko ziarani barani Afrika ambapo alianza awamu ya pili iliyoanzia huko Cairo nchini Misri.