- 1,347 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZIARA ZA MARAIS WA AFRIKA ZINA TIJA AU NI MZIGO KWA WALIPA KODI?
- 16 Jul 2025 - A higher education crisis is brewing and for thousands of students from low-income families, a university dream may turn into a nightmare.
- 16 Jul 2025 - Kenya Airways is set to regain its long-haul strength as it prepares to return three grounded Dreamliners to service.
- 16 Jul 2025 - Chief Justice Martha Koome has pushed back against external interference and attacks on judicial officers by the political class.
- 16 Jul 2025 - Eight key suspects linked to the July 3, 2025, arson attack on Mawego Police Station in Rachuonyo North sub-county, Homa Bay County, were on Tuesday arraigned at the Kahawa Law Courts.
- 16 Jul 2025 - Like other Togolese under the age of 60, Elom cannot remember a time when the tiny west African nation was not ruled by a member of the Gnassingbe family.
- 16 Jul 2025 - Two victims of the recent violent Saba Saba protests have been laid to rest in deeply emotional ceremonies.
- 16 Jul 2025 - The government is investigating the mysterious deaths of four residents of the Migadini area in Changamwe, Mombasa County.
- 15 Jul 2025 - Sophia Sitati has been appointed as the new Registrar of Political Parties in an acting capacity.
- » Orwoba to appeal Ksh.10.5M defamation ruling, claims she’s being punished for rejecting sexual advances15 Jul 2025 - Former Nominated Senator Gloria Orwoba has vowed to appeal a court ruling that ordered her to pay Ksh.10.5 million to Senate Clerk Jeremiah Nyegenye for defamation, defiantly maintaining that her sexual harassment claims remain unresolved.
- 15 Jul 2025 - Kenyans have been called upon to prioritize regular medical check-ups, particularly for diabetes, as part of the broader fight against the country’s rising burden of non-communicable diseases.