Skip to main content
Skip to main content

Ziwa linaloakisi anga na kufanya magari yanapita angani

  • | BBC Swahili
    10,476 views
    Duration: 16s
    Ziwa linaloakisi anga na kufanya magari yaonekane yakiendeshwa angani lawashangaza wengi China Mawingu yanapoakisiwa kwenye ziwa hili, hufanya magari yaonekane kana kwamba yanaelea au yanaendeshwa kwenye barabra iliyo kwenye mawingu. Picha zilizorekodiwa kutoka juu ya Ziwa Pingtian, huko China, zinaonyesha maji yaonekane kama anga la juu. Tazama #bbcswahili #china #miundombinu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw