19 Feb 2026 7:42 pm | Citizen TV 491 views Duration: 2:31 Zoezi la kuhesabu kura linaendelea kufuatia uchaguzi wa chama cha mawakili nchini LSK. Mawakili kote nchini walijitokeza kuwachagua viongozi wapya, kwenye zoezi linalowahusisha mawakili elfu ishirini.