Zoezi la kusambaza dawa kuanza Migori

  • | Citizen TV
    156 views

    Kaunti ya Migori ni miongoni mwa kaunti tano zinazopakana na Ziwa Victoria ambazo zinalengwa kupokea dawa za kichocho.