- 1,385 viewsDuration: 2:45Chama cha ODM tawi la kasipul kaunti ya homa bay, kimetoa hakikisho kwamba mchujo utakaoandaliwa hapo kesho utakuwa bila mapendeleo. MwenyeKITI wa chama hicho tawi la kasipul Evance Ndege amewahakikishia wanachungwa kuwa taratibu zote za mchujo zitafuatwa