Zoezi la upasuaji wa maiti 109 zilizopatikana katika eneo la Shakahola latarajiwa kuanza

  • | Citizen TV
    1,136 views

    Zoezi la upasuaji wa maiti 109 zilizopatikana katika eneo la Shakahola linatarajiwa kuanza rasmi hii leo. Mpasuaji wa maiti wa serikali Johansen Oduor yuko mjini Malindi kuendesha shughuli hiyo.