Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la usajili wa vitambulisho kuanza kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    79 views
    Baada ya uzinduzi wa kitaifa wa mpango wa Usajili wa vitambulisho Mashinani uliofanyika Kaunti ya West Pokot, Idara ya Uhamiaji na Huduma za Usajili imejizatiti kuhakikisha kuwa Machifu na Naibu Machifu wamepata mafunzo ya kutosha kabla ya kuanza kwa zoezi hilo Kajiado.