- 413 viewsDuration: 6:35Tume huru ya Uchaguzi na mipaka IEBC inazindua rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya kote nchini. Halfa hiyo inafanyika katika eneo la Mashuuru, kaunti ya Kajiado ambapo itaongozwa na mwenyekiti wa IEBC Erustus Ethekon na makamishana wa tume hiyo. Sasa tuungane na Robert Masai kutoka huko Mashuuru kaunti ya Kajiado atufahamishe yanayojiri.