Zubeida Atetea Kiti Chake Kama Rais Wa Jukwaa Wahariri Nchini

  • | NTV Video
    1,230 views

    Mhariri wa runinga ya KTN Zubeida Kananu ametetea kiti chake kama rais wa jukwaa wahariri nchini (Editors Guild) baada ya kujizolea kura 72 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Yvonne Okwara wa runinga ya Citizen, ambaye alipata kura 58 katika uchaguzi uliofanyika kwa njia ya mtandaoni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya