
242 views
PCEA Upendo yaongoza usafishaji wa mitaro Gataka, Kajiado kukabiliana na mafuriko ya mvua
Huku msimu wa mvua ukianza rasmi, hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa mji wa Gataka kaunti ya Kajidao ambao kila msimu wa mvua hukumbwa na changamoto ya mafuriko . Hali hiyo imechochea kanisa la PCEA Upendo kuongoza zoezi la kusafisha mitaro na mazingira katika juhudi za kupunguza athari za mafuriko.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo