
74 views
Biashara I Shirika la Posta lageukia usafirishaji bidhaa za matibabu
KAPU LA BIASHARA Shirika la Posta lageukia usafirishaji bidhaa za matibabu Chama cha ushirika cha Ngao chafungua matawi mapya Benki ya Kingdom yafungua tawi la 30 Nairobi Shirika la Posta linanuia kupanua wigo wake kwenye shughuli za uchukuzi wa bidhaa za afya baada ya kununua magari maalum 11. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo amesema magari hayo yananuiwa kutumika katika usafirishaji wa bidhaa zinazohitaji kiwango mahsusi ca joto zikiwemo chanjo na dawa. Taarifa hii ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma