
730 views
Idadi ya walioripotiwa kupotea kufuatia poromoko la jengo Eastleigh yapungua hadi 11
Serikali sasa inasema idadi ya watu walioripotiwa kupotea kufuatia poromoko la jengo mtaani Eastleigh jijini Nairobi imepungua kutoka watu 16 hadi watu 11, baada ya watu watano waliokuwa wameorodheshwa miongoni mwa waliopotea kuungana na jamaa zao. Watano hao waliwasiliana na jamaa zao kudhibitisha walikuwa salama, na kwamba hawakuwa katika eneo la mkasa wakati jengo hilo lilipoporomoka. Waokoaji sasa wameelekeza juhudi zao kwenye msingi wa jumba hilo ambako watu wanaaminika kukwama. Michael Mwandigha na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- LIVE: Good Morning Kenya: 24th November 2026: www.kbc.co.ke
- 2 petitioners seek to halt procurement of General Election technology
- Nyoro says live transmission of election results in 2027 is non-negotiable
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa