
1,937 views
Regina Re, kakake na bintiye wazuiliwa kuhusiana na mauaji ya mama yao
Mwigizaji maarufu Regina Wangui Macharia, maarufu Regina Re, pamoja na kakake na bintiye ni miongoni mwa watu wanne wanaozuiliwa kuhusiana na mauaji ya mama yao. Mahakama ya Kibra imekubali ombi la maafisa wa uchunguzi la kuwazuilia washukiwa hao kwa siku zaidi ili kukamilisha uchunguzi. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 86 aliuawa nyumbani kwake katika mtaa wa Loresho, Nairobi. Mary Muoki anaaarifu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo