
160 views
Watahiniwa wa KCSE wafanya mitihani hospitalini na wengine kuhamishwa Moyale
Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE umeanza rasmi hii leo, huku watahiniwa kote nchini wakifanya mitihani yao. Katika Kaunti ya Bomet, watahiniwa watatu wamefanya mitihani yao wakiwa hospitalini. Huku eneo la Moyale, Kaunti ya Marsabit, watahiniwa kutoka shule mbili wamehamishwa hadi maeneo mengine kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama mpakani. Maryanne Nyambura anaaarifu.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo