
1,297 views
Hofu yatanda Moyale huku wakimbizi 50,000 wakikimbilia Kenya kutokana na vita Ethiopia
Hofu imeendelea kutanda katika mpaka wa Kenya na Ethiopia eneo la Moyale, kufuatia vita vinavyoendelea upande wa Ethiopia kati ya wapiganaji wa jamii ya Oromia na Somali. Serikali ya Kenya imethibitisha raia mmoja kufariki japo idadi inaripotiwa kuwa juu kulingana na wenyeji. Idadi ya wakimbizi wanaotafuta usalama nchini ikifikia elfu hamsini. Inspekta Jenerali wa polisi katika ziara yake Moyale amewahakikishia wenyeji usalama serikali ikitafuta suluhu ya kukomesha vita hivyo.
- Latifa Akumu murder suspects remanded for 21 more days
- IEBC warns of KSh 12 billion budget shortfall ahead of 2027 polls
- EACC to name candidates with questionable integrity ahead of 2027 polls
- Ruto awashutumu viongozi wa upinzani kwa kuchochea vijana kufanya fujo
- Tafakari Ya Babu: Mjinga na Mpumbavu
- Watu watano wauawa katika uvamizi wa wezi wa mifugo Isiolo
- “2024 Finance Bill was eventually passed, and there was no harm to our nation,” President Ruto says
- Amriya Super Cup yazinduliwa Mombasa kuwaepusha vijana na mihadarati wakati wa likizo